Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Kuna dada mmoja tuliishi nae mtaani mume wake alikuwa anazo alafu na alikuwa mtu wa totoz. Vijana wengi walitaka kulipiza machungu ya kugongewa wake zao kwa huyu dada lakini alikuwa so decent hata akiambiwa uchafu wa mume wake anakaa kimya tu
Huyo naye ni mjinga sana
 
Hafu ujue wanawake tunaweza kuwa na michepuko hata kumi ya kukidhi haja ya mambo mbalimbali sema huwa tu nafanya siri sana hata kusimulia ngumu tofauti na wanaume

haaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhh cariha marufuku kuonesha silaha za maangamizi kwa adui...ila mm naamin kbs ukimtreat fresh wife ngum sana kugongewa!
 
Mimi nitaweza moyo wangu ni zaidi ya chuma,ukitoka nje ukagongwa basi juwa ukirudi ndani mimi nitazidisha manjonjo itafika mahala hutatoka.MAANAUKIONA MWANAMKE ANATOKA BASI JUA KUNA KITU ANAKOSA!mwisho wa kunukuu ndg mjume!.
 
maumivu ya kuchapiwa ni makubwa sana ndugu usiombe yatokee ilaikitokea na ukitaka isitokee tena ukimkuta mkeo anamegwa mwambie kwa upoleeee mama pole na kazi twende zetu nyumbani ukapumzike usimpige wala usimwache mpe story nyingi asahau kilichotokea nakuambia hatokaa arudie tena maishani tena hata wewe ukichepuka hataamini kama unachepuka mutaishi kwa amani teleeeee
 
Hiyo ndiyo tofauti yenu na sisi,nyie mnaweza chepuka na wanaume hata kumi,sisi huwa tunachagua mmoja tu ambae atakua mchepuko punde nyumba inapowaka moto
Hahaaaaaa eti punde nyumba inapowaka moto loh hafu ujue vingine huwa ni tabia ya mtu aliyozoea sasa ukimyima kitu anaenda kumtafta baby ukute a natafta kiugomvi ili mnuniane apate sababu.
 
Wanabodi, Mke anauma jamani.

Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.

Jamani huwa mnafanyaje kusahau??

Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.

Au mnaonaje wadau???

Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Jiangalie usije ukaliwa mwenyewe
 
Hahaaaa sasa analia nini huku yeye sio mwaminifu, wanaume ndo huumia sana loh
Anatakiwa ajikaze. Sisi wanaume huwa tunapenda sana asikwambie mtu ndio maana unakuta kuna muda tunafanya maamizi ya kumwaga damu.

Huyo mtoa mada kama yuko serious kweli anatakiwa awe makini sana,dhambi huwa zina athari sana. Hili huwa wanaliona wale wenye kutafakari mambo kwa umakini wa hali ya juu.
 
yeah..pia ni trick mby sana..hata akikuambia anaumwa hushtuki kiviileee km acugue mchepko....lol!ila kiuhalisia waanwake hatutakiwi kbs kuchepka!sie tunapenda mazima!wenyewe wanataman
Hapo ndo unapokosea yani wewe ule maharage kila siku kisa mwanamke yeye akale vinono dhubutu yako hyo loh, starehe haina jinsia
 
Back
Top Bottom