Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Habari zenu wakuu, naomba kuuliza hivi bodi wakishafunga dirisha la kuapply mkopo Huwa wanatoa nafasi nyingine ya kuapply? Maana mdogo angu Cheti chake cha kuzaliwa kilipotea na Rita wanamzungusha hadi leo na tuna siku kama moja au mbili tu zilizobaki..
 
Back
Top Bottom