ngayongadaniel
Member
- Sep 29, 2016
- 20
- 8
Maradhi???????????????
Maradhi???????????????
ulipo ingia sio maana ad mwenyewe niliingia yakwanza kbs baada ya kuserch helsbMi naambiwa this ccount has been suspended
Huwezi kushare link apa iliyokupeleka kuona hayo majinaulipo ingia sio maana ad mwenyewe niliingia yakwanza kbs baada ya kuserch helsb
Ambaye amedownload hayo majina ayatupie hapa, nimejaribu kutafungua yamekataa inaonekana mtandao uko busy sana
Jaribu kurefresh hiyo page, hapo Kuna maneno wakuletea ili kutambua kama mtumiaji ni binadamu au robotJamani apa msaada naweka verification ipiView attachment 876916
maneno ayo yapo sema kwa sababu unatumia sim jalibu pcHaiji ayo maneno ata yani nachanganyikiwa
Nadhan pia browser anayotumia inaweza ikawa sababu,maana mimi nimetumia Simu nimeyaonamaneno ayo yapo sema kwa sababu unatumia sim jalibu pc
Haiji ayo maneno ata yani nachanganyikiwa
Unatumia browser gani?Haiji ayo maneno ata yani nachanganyikiwa
Kwani huyo mdhamini ana kitambulisho kimoja tu?Jaman naomba msaada mdogo wangu jina lake limeonekana kwenye majina ya waliokosea kuomba mkopo na shida yake ni kwamba, kwenye guarantor identification document ambapo kitambulisho cha mpiga kura hakionekani vizur kuna baadhi ya maandishi yamefutika, hapo hatua za kufanya ku solve hilo tatizo tunafanyaje. Help please
ujajibu swali unatumia browser gan??? download nyingineNifanyaje ss
Anacho kimoja tuKwani huyo mdhamini ana kitambulisho kimoja tu?
naombeni msaada kwenye fomu yangu ina miss, applicant identification document
Sasa bado cjajua na attach vitu kama vipi hapo naomben msaada
Hiko sina mkuu nina cha mpiga kura ndo nili attachKitambulisho cha uraia