Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Je WANAFUNZI WANAOTARAJIA KWENDA LAW SCHOOL WANAOMBA LINI MKOPO KWA SABABU LAW SCHOOL WAMETANGAZA JUZI TU HAPA KWAMBA WATU WAANZE KUTUMA MAOMBI KWA AJILI YA DISEMBA MWAKA HUU NA JUNI MWAKANI KWA WANAOHITAJI KUINGIA NA MWISHO NI TAREHE 15 October 2018
 
ingia heslb, ila kwa ushauri wangu log in kwenye account yako mfano mimi kweny ile list wanaonesha ni cheti cha kuzaliwa tuu ndio sijahakiki ila kulogin kwenye account nakuta kumbe nina matatizo mawili pamoja na kuapload page5

Ukiingia kwenye account ubakuta comment au....maana mimi nimeingia cjakuta chochote kile
 
Ambaye amedownload hayo majina ayatupie hapa, nimejaribu kutafungua yamekataa inaonekana mtandao uko busy sana
 
Back
Top Bottom