Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Jaman naomba msaada mdogo wangu jina lake limeonekana kwenye majina ya waliokosea kuomba mkopo na shida yake ni kwamba, kwenye guarantor identification document ambapo kitambulisho cha mpiga kura hakionekani vizur kuna baadhi ya maandishi yamefutika, hapo hatua za kufanya ku solve hilo tatizo tunafanyaje. Help please
 
Jamani apa msaada naweka verification ipi
Screenshot_20180924-213759.jpg
 
Jaman naomba msaada mdogo wangu jina lake limeonekana kwenye majina ya waliokosea kuomba mkopo na shida yake ni kwamba, kwenye guarantor identification document ambapo kitambulisho cha mpiga kura hakionekani vizur kuna baadhi ya maandishi yamefutika, hapo hatua za kufanya ku solve hilo tatizo tunafanyaje. Help please
Kwani huyo mdhamini ana kitambulisho kimoja tu?
 
naombeni msaada kwenye fomu yangu ina miss, applicant identification document

Sasa bado cjajua na attach vitu kama vipi hapo naomben msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom