vip umetumia dawa gani kutibu na kurutubisha mikorosho yako?Miti ya korosha musoma kwetu haizai kabisa na inamiaka mingi toka imepandwa tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta miti ya kisasa achana na ya zamani.Miti ya korosha musoma kwetu haizai kabisa na inamiaka mingi toka imepandwa tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Mtwara mkuukuanzia next week nitakuwa mtwara nikitembelea vyama vikuu vya ushirika vya korosho kuasses biashara yao na matarajio either kufanya export au kuongeza thamani....
Karibu sana Mtwara mkuukuanzia next week nitakuwa mtwara nikitembelea vyama vikuu vya ushirika vya korosho kuasses biashara yao na matarajio either kufanya export au kuongeza thamani....
ahsanteKaribu sana Mtwara mkuu
panda mbegu mpyaMiti ya korosha musoma kwetu haizai kabisa na inamiaka mingi toka imepandwa tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea watu wakipata pesa huko huwa wanajenga sana mkuu?Nawaombea wana mtwara wavune korosho wapate pesa ili biashara yangu ya kuuza mashine za kufyatua tofali iende sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo uongo, acha joking master1450