Matokeo ni mazuri natumia tankVipi matokeo yamekuaje? Je bonde liliathiri??
Unatumia pump au tank??
Matokeo ni mazuri natumia tankVipi matokeo yamekuaje? Je bonde liliathiri??
Unatumia pump au tank??
Nitashukuru mkuu!!Wanauza kwa mita ngoja nitafute nikutumie
Nipe dakika 20 nikuandalie data nzuri zaidiNitashukuru mkuu!!
Nitashukuru mkuu!!
Shukran sana mkuu!! Tuko pamoja!!huu uzi umenifikisha mbali asanteni kwa mlio leta mada.
Nitashukuru mkuu!!
Bei zao si mbaya. Ni nzuri!
Hii ni proforma ambayo inaonyesha na amount in usd.
Hivyo ni baadhi ya vifaa nilivyochukua
Kwa ushauri tu, hizo emitter zake zinatoa maji mengi! Ni vyema kama system yako haina matatizo ukanyeshea kwa lisaa limoja tu(maximum)! Japo hata nusu saa tu inaweza tosha!
Karibu mkuu!! Twende pamoja kuijenga Tanzania!Wakuu nawashukuruni sana Mimi sio Mkulima lakini Nahamasika kupitia nnacho kisoma na Soon ntabadili Gear nirudi Shambani
Hao wanakupa agent wao ambaye anashughulikia kusafilisha.Bei zao si mbaya. Ni nzuri!
Naomba niambie kuhusu mchakato wa agent wa kisafirisha! Bei zao zikoje? Pia wanapatikanaje?
Nashukuru sana!! Huo mzigo ulikua mkubwa!! Na kwenye kodi umesema ulilipa 37k je hawakukusumbua may be kutaka kukupiga???Hao wanakupa agent wao ambaye anashughulikia kusafilisha.
Mimi nililipia 1600usd kusafilisha na 350usd inspection.
Hapa Dar nitakupa Agent aliyenitolea ambapo nililipia reli tu 37000tsh
Hapo ktk details nimeonyesha ni vya 4Acres just to eliminate some usumbufu hapa kwetu lkn ukweli unaujua wewe mtumiaji.
Hapana nimechukua 4liters per hour kwa makusudi.Kwa ushauri tu, hizo emitter zake zinatoa maji mengi! Ni vyema kama system yako haina matatizo ukanyeshea kwa lisaa limoja tu(maximum)! Japo hata nusu saa tu inaweza tosha!
Maana kwa lisaa unakua umeachia lita nne za maji kwenye mmea kiasi ambacho kwa mazao ya mboga mboga ni kikubwa!! Nusu saa au dk 40 zinatosha kabisa!!
NB: Test manually flow rate yake ni kiasi gani?! Unaweza chagua emiter hata kumi au ishirini alafu ukatafuta wastani wa flow rate kuhakikisha emitter moja inatoa lita ngapi kwa lisaa au dakika!
Andaa documents zote vizuri na zote zisitofoutiane HS code.Nashukuru sana!! Huo mzigo ulikua mkubwa!! Na kwenye kodi umesema ulilipa 37k je hawakukusumbua may be kutaka kukupiga???
Swali la mwisho, ilichukua mda gani kukufikia??
Sintagusa maswala ya nyanya kama nyanya maana sio mtaalam wa huko!Wadau naomba kujuzwa kwa kilimo cha umwagiliaji cha nyanya..... ekari moja...
Kuandaa shamba na kununua vitu vyoote vinavyohitajika... inaweza ikacost sh ngap....kwa mradi woote kukamilika
Hizo hs code unapewa na hao waliokuuzia au inakuaje boss??Andaa documents zote vizuri na zote zisitofoutiane HS code.
Wakikusumbua nenda kamuone kamishina wao, sababu wao ndio wametoa muongozo wa kuagiza vitu
Mimi ilichukua 18days.Andaa documents zote vizuri na zote zisitofoutiane HS code.
Wakikusumbua nenda kamuone kamishina wao, sababu wao ndio wametoa muongozo wa kuagiza vitu