Special thread: Kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)

Hizo hs code unapewa na hao waliokuuzia au inakuaje boss??

Je ilichukua mda gani kukufikia??
Hizo hs code zimetolewa na tra.
Download hicho kitu
df52ca7da125ec72cc1cc01e080096aa.jpg
1eca52b3c62b79a1b2bc49f333bef19b.jpg
c607920c9bdd432612a39a211230a7a5.jpg
 
Hizo hs code zimetolewa na tra.
Download hicho kitu
df52ca7da125ec72cc1cc01e080096aa.jpg
1eca52b3c62b79a1b2bc49f333bef19b.jpg
c607920c9bdd432612a39a211230a7a5.jpg
Kwa kweli niseme tu, shukran sana! Naimani hii itawasaidia na wengine ambao wana nia ya kutumia drip au kuagiza kitu nje!

Nitazitafuta hizo hs code niwe nazo kabisa kama kumbukumbu!! Wengi wamekatishwa tamaa na bei za hawa dealers wa huku kwetu! Mfano kwa case yako...mita moja inauzwa dola 0.086 kwa mita 1000 inakua dola 86!

Ukipeleka kwenye tshs....86*2270tsh inakua 195,220tsh (makadirio ya juu) which is reasonable!

Roller ya mita 1000 nadhani hata haizidi 200,000/= hapa bongo wanauza parefu sana duuuh!!

Umekua msaada mkuu! Shukran sana!!
 
Kwa kweli niseme tu, shukran sana! Naimani hii itawasaidia na wengine ambao wana nia ya kutumia drip au kuagiza kitu nje!

Nitazitafuta hizo hs code niwe nazo kabisa kama kumbukumbu!! Wengi wamekatishwa tamaa na bei za hawa dealers wa huku kwetu! Mfano kwa case yako...roller ya mita 1000 nadhani hata haizidi 230,000/= hapa bongo wanauza parefu sana duuuh!!

Umekua msaada mkuu! Shukran sana!!
Hawa jamaa wanayo complete kit ya heka moja 240usd, full kit na mipira
 
Sasa fanya hivi kwa kukusaidia.
Waambie umepata information kutoka kwa Mr Ambari.
Na unataka uhakika wa mzigo wako kufika.
Wacha wao waamue kunitumia mimi au wanamtu wao.
 
Back
Top Bottom