Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

Sema familia yangu tunamtaka sio watanzania mnamtaka, Hivi huyu na alichokisema jana kwa walutheri eti tanga tanzania iumbwe hawajawah pata rais mlutheri...yaan anatupeleka kwenye udini
MACCM ni sawa na Mashetani!

Hata Mpakaze ujinga wenu vipi! Sisi tuko na LOWASSA, Hata mseme vipi! Lowassa lazima awe Rais wa awamu ya tano! La sivyo tutaelezana ilikuwaje LOWASSA akashindwa, ilhali Watannzania wote tunamkubali!
 
Hii mada ni fupi sana, akiongea kwenye mikutano inayoendelea Tabora, lowassa amesikika akisema, "Kwa mfano mkinichagua kuwa rais, nitaanza na elimu, elimu itakuwa bure na hakutakuwa na michango michango kama michango ya pen mashuleni,". Halafu ongeza na ile ya juzi ya "ccm oyee" utajua kuwa mheshimiwa ni kama anatimiza matakwa ya mbowe tu kupiga kampeni, kiukweli kuweka neno "kwa mfano mkinichagua" ni dhahiri anajua kuwa hawezi kuchaguliwa. Pia lowassa ameonyesha kukata tamaa kabisaa, hana sura ya mtu mwenye uhakika wa kile anachokipigania. Hawa mashabiki mje kwa wingi hapa kuchangia kwa matusi na kejeli.

Tukisema rais anayesubiri kuapishwa mnalalamika, tukija kivingine maneno, tunasema endeleen kulalamika kwa maana hamna nyingine.
 
hii ni miongoni mwa thread za hovyo kabisa humu. kwa nini msilete vitu vya maana?

Hii mada ni fupi sana, akiongea kwenye mikutano inayoendelea Tabora, lowassa amesikika akisema, "Kwa mfano mkinichagua kuwa rais, nitaanza na elimu, elimu itakuwa bure na hakutakuwa na michango michango kama michango ya pen mashuleni,". Halafu ongeza na ile ya juzi ya "ccm oyee" utajua kuwa mheshimiwa ni kama anatimiza matakwa ya mbowe tu kupiga kampeni, kiukweli kuweka neno "kwa mfano mkinichagua" ni dhahiri anajua kuwa hawezi kuchaguliwa. Pia lowassa ameonyesha kukata tamaa kabisaa, hana sura ya mtu mwenye uhakika wa kile anachokipigania. Hawa mashabiki mje kwa wingi hapa kuchangia kwa matusi na kejeli.
 
Mbona magufuli alisema people's?! Lowassa kusema ccm oyee ni kuomba kura tu na si vinginenvyo! Lowassa anajua ndani ya ccm kuna watu wake japo hawapo ukawa! nini msichokielewa sasa hapa!
 
Hiki ndiko kinafanyika humu mitandaoni, Ukawa tusonge mbele
 
Attachments

  • 1441649283487.jpg
    1441649283487.jpg
    53.5 KB · Views: 127
Siku nikienda kupiga kura!

Urais! Nampa LOWASSA, Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA Tanzania.

Ubunge! Nampa Godbless J Lema , Mgombea Ubunge kupitia CHADEMA na UKAWA, Jimbo la Arusha mjini!

Udiwani! Nampa Ndg.Amani, huyu ni mgombea Ubunge wa kata ya ENGUTOTO, na Mimi ni Mkazi wa Njiro Block F.

Sasa hapo Kosa langu mimi ni nini?

LOWASSA ndiye Rais wa awamu ya tano! Au KIFO....

Malizia basi....au kifo cha mende UKAWA...
 
Last edited by a moderator:
Maleko Guidotti
SIASA NI SAYANSI MSIDHANI MTU ANAKURUPUKA TU ETI NIMETUMWA NIGOMBEE! Jana mh. Rais lowasa akiwa ktk kampeni nzega baada ya kugundua kuwa ccm wamepandikiza mamluki akatest kwa kutoa kiitikio CCM OYEE ikawa kimya akarudia tena kimyaa akajiridhisha kuwa mamluki hakuna na kama wamo wamehofia na wamepigwa butwaa!! Akaendelea na kumwaga sera! Cha kushangaza Magazeti na vituo vya ccm kama startvccm, tbccm, cloudsccm, na miledio yao imeshupalia wee mara ccm haijamtoka mdomoni, mara ni ccmb, na wengine wakasema anaitamani ccm! Hiyo ni.mbinu ya mh. Lowasa! Ccm juen kuwa hiyo ni mbinu ya kisiasa na kumbukeni kuwa mh. Lowasa hanaga siasa chafu kama mnavyofanya ninyi!nimesambaza hii kwa sababu kuna watu akili ndogo haziwezi kuilewa akili kubwa!!
 
Lowasa ni gari lililo katika breki kwenye mteremko mkali,,linakwenda tu bila muelekeo linasubiri kukutana na kisiki lisimame kwa kudra ya mwenyezi mungu!!!
 
Watanzania ni akina nani?

Mbona sisi tulio wengi chaguo letu ni Lowassa?

Au wewe na hao ambao hamumtaki Lowassa ni Watanzania wa wapi? Huku mitaa ya Tanzania jina kuu ni Lowassa, Lowassa!!!!!!!!!

Mimi, mke wangu na watoto wangu kura zetu zote ni kwa Lowassa!

Kumbe familia yako nilidhani wa tz wote
 
Hii mada ni fupi sana, akiongea kwenye mikutano inayoendelea Tabora, lowassa amesikika akisema, "Kwa mfano mkinichagua kuwa rais, nitaanza na elimu, elimu itakuwa bure na hakutakuwa na michango michango kama michango ya pen mashuleni,". Halafu ongeza na ile ya juzi ya "ccm oyee" utajua kuwa mheshimiwa ni kama anatimiza matakwa ya mbowe tu kupiga kampeni, kiukweli kuweka neno "kwa mfano mkinichagua" ni dhahiri anajua kuwa hawezi kuchaguliwa. Pia lowassa ameonyesha kukata tamaa kabisaa, hana sura ya mtu mwenye uhakika wa kile anachokipigania. Hawa mashabiki mje kwa wingi hapa kuchangia kwa matusi na kejeli.

Wanawapanga vibaya wamewambia muwe mnatengeneza story zinazoendana na ukweli ama somo halieleweki nini? mbona bado mnaenda chaka hivo. Wambie wanatumia njia ambazo mnaowapelekea wanafumbua kuwa mmetumwa. Mbona hayo maneno unayoshangaa yapo sana.
 
Wewe na hao unaowashabikia ni takataka!
Rwankomezi
Sasa serikali yenu na chama mnachokishabikia ilifanya nini kumdhibiti huyu mnayemuita Fisadi? Au mtu anaitwa fisadi akishaingia Upinzani? LUSINDE ndio nani? Huyu mjinga wa STD7 aliyeporomosha matusi kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA pale Arumeru? Kweli CCM haina mtetezi mwenye akili timamu!

samahani kaka, eti wewe mwenye akili timamu unategemea kulipwa shingapi kama kiinua mgongo pale utapostaafu? Nauliza tu, maana lusinde kakunja over 100mil, na bado atarudi tena mwezi wa 10 mjengoni. Nauliza tu, eti kwa mwezi wewe mwenye akili na ambaye hukutukana viongozi waandamizi wa chadema pale arumeru kwa mwezi una take-home shingapi? Maana asiye na akili lusinde anaingiza zaidi ya 12mil. Nauliza tu, sina nia mbaya, eti mkopo wa gari kazini kwako ni shingapi? Maana huyu mjinga lusinde ana mkopo ambao hatarejesha wa zaidi ya 150mil. Nauliza tu mkuu, hivi bima yako ya afya limit ya matibabu ni kiasi gani, maana huyu wa darasa la saba ana unlimited cover. Nakuuliza tu mkuu, ni sehemu gani utamtukana Rais na hufungwi, maana huyu mjinga akikaa mjengoni anaruhusiwa kufanya lolote. Kwa hapo imetosha.
 
Last edited by a moderator:
Lowassa alikuwa anacheki kama wananch wanafuatilia anachoongea vilevile tukagundua kuwa wananch hawaipendi ccm ndio maana hawakuitikia.Ccm mwaka huu lazima mkae bench maana hakuna namna nyingine tena,mtakaa bench tu.
 
MACCM ni sawa na Mashetani!

Hata Mpakaze ujinga wenu vipi! Sisi tuko na LOWASSA, Hata mseme vipi! Lowassa lazima awe Rais wa awamu ya tano! La sivyo tutaelezana ilikuwaje LOWASSA akashindwa, ilhali Watannzania wote tunamkubali!

Subiri october ili uone ushetani wetu
 
SIASA NI SAYANSI MSIDHANI MTU ANAKURUPUKA TU ETI NIMETUMWA NIGOMBEE!
Jana mh. Rais lowasa akiwa ktk kampeni nzega baada ya kugundua kuwa ccm wamepandikiza mamluki akatest kwa kutoa kiitikio CCM OYEE ikawa kimya akarudia tena kimyaa akajiridhisha kuwa mamluki hakuna na kama wamo wamehofia na wamepigwa butwaa!! Akaendelea na kumwaga sera!
Cha kushangaza Magazeti na vituo vya ccm kama startvccm, tbccm, cloudsccm, na miledio yao imeshupalia wee mara ccm haijamtoka mdomoni, mara ni ccmb, na wengine wakasema anaitamani ccm! Hiyo ni.mbinu ya mh. Lowasa!
Ccm juen kuwa hiyo ni mbinu ya kisiasa na kumbukeni kuwa mh. Lowasa hanaga siasa chafu kama mnavyofanya ninyi!

mpeni kura Lowassa ni mchapakazi na mwadilifu anauchukia umasikini ataikomboa nchi yetu na kura zote za rais, wabunge na madiwani wapeni wagombea wa CHAMA CHA MAPINDUZI.
By Msindai wa ukawa
Na huyo alikuwa anamjaribu nani?
 
Watanzania ni akina nani?

Mbona sisi tulio wengi chaguo letu ni Lowassa?

Au wewe na hao ambao hamumtaki Lowassa ni Watanzania wa wapi? Huku mitaa ya Tanzania jina kuu ni Lowassa, Lowassa!!!!!!!!!

Mimi, mke wangu na watoto wangu kura zetu zote ni kwa Lowassa!

he kumbe wewe ni mwingi?
 
Back
Top Bottom