Special thread: EACOP updates

Kazi kweli kweli .
Hawa jamaa watafanya kweli .
Nini kimetokea Horn of Africa ?
Huku sudan huku ethiopia huku somali- kenya

Ethiopia hali imechafuka
Sasahivi wale Oromo liberation army wanaovuka mpaka kila wakati kuwapiga wakenya kule kaskazini wameunda ushirika na tplf kumwondoa abey wachukue nchi .
 
Inasikitisha sana.
Horn of Afrika inapitia kipindi kigumu sana.
 
Apart from signing some documents and posing for photos. Is there really anything going on this EACOP project? To me it was a big mistake to exclude Kenya who are good in diplomacy and would have unlocked some of the stalemates that have bedeviled this project
 
Thanks for your opinion.
 
it seems you dont know anything
 
here we go
Screenshot_2021-11-26-21-58-23.jpg
 
Uzuri sio wewe unayechagua port gani itumike. Hizi kampuni zinaangalia shortest distance ili kusave costs. Tayari rigs za Tilenga na Kingfisher zilizotumika kufanya exploration zilipitia Mombasa. 80% ya Uganda's imports hupitia Mombasa. So hakuna cha kushangaza hapo. Longer route itacost more money and contractors wanajaribu kusave money.
Wasn't The case in the pipe line
 
Back
Top Bottom