Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Big up Paraguay mmejitahidi ......Argentina today mmejitahidi lakini si ile ambayo tulitazamia... Hope next tutacheka
FT Arg 2- 2 Prgy
Mbona hata hapa yupo vizuri tu..... Kama umeanza game toka mwanzo utakuwa umeliona hilo.
Kuna nafasi ya Brazil kukutana na Argentina hatua itakayofuata, unless wote wanamaliza katika nafasi moja kwenye makundi yao. Walete!
Huwa anatulizwa kabla na chake kabisaa....yaani km ni ulevi nikiri wazi nishakuwa teja la soka.....
katika vitu ambavo siogopi ni brazil kukutana na argentina, wateja wetu sana hao, hii game itateka hisia za watu zaidi ya derby
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mlimbwende weye umeshasimamia show ya uhakika na kuacha watu wanakoroma tu grrrrrrrrrrrrrrrrrrr......grrrrrrrrrr... grrrrrrrr hahahahahah lol! ili uendelee na uteja wako wa soka na kuepuka maswali ya kiuchokozi "Hulali leo mbona unaangalia TV mpaka usiku wa manane unaangalia nini?"
hehe *evil laugh*, hivi 'Player from another galaxy' alikuwepo?
hehe *evil laugh*, hivi 'Player from another galaxy' alikuwepo?
alikuwepo uwanjani
Haha hao jamaa ni typical cules, wataleta ligi ambayo haitaisha. We ngoja uone.
Wakati mwingine hata plan C ni muhimu ili kuhakikisha unazuka mtaani ππ