Dk 60
Arg 2 - 1 Par
Valdez wa Paraguay anachomoa goli moja
Nilichepuka kidogo dah!! nikakutana na ile miss ya Messi......Paraguay wameamka sana..... Dah!! Messi kamiss tena...
Paraguay wanashambulia kwa kushtukiza...
So far Argentina wamekosa nafasi nyingi...
Dk 74 Tevez anaingia nafasi ya Pastore na Higuain anaingia nafasi ya Aguero
Umeona tulivyokoswa hapo Rameo kacheza vyema.......
Kumbe Messi anaonekana akiwa na Barca
Argentina wanafanya uzembe
FT
Arg 2 - 2 Par
Sasa hivi ni saa ngapi??Big up Paraguay mmejitahidi ......Argentina today mmejitahidi lakini si ile ambayo tulitazamia... Hope next tutacheka
FT Arg 2- 2 Prgy
Sasa hivi ni saa ngapi??
Haya...... fanya haraka.....!!SAA 2:32 mie ni kk maana nishajua unakoelekea.... Byeeeee
eve muonekano wa picha tunaweza kuhukumu jinsia yako ila ukweli unaujua wee mwenyeo ila kama ni jinsia ya f shemegi unampa tabu :whoo::whoo::whoo: mida hii ni hatari na wee uko jf na mbele kuna screen hahahaahahaSAA 2:32 mie ni kk maana nishajua unakoelekea.... Byeeeee
So sad ukilinganisha na nafasi tulizopoteza dah!! Inauma sana.... Anyway si mwanzo mbaya........ubusiku bununu nkamu gwangu....
eve muonekano wa picha tunaweza kuhukumu jinsia yako ila ukweli unaujua wee mwenyeo ila kama ni jinsia ya f shemegi unampa tabu :whoo::whoo::whoo: mida hii ni hatari na wee uko jf na mbele kuna screen hahahaahaha