Nimekutafuta mwisho wa siku nimekupata hapa ... Nikutakie machozi mema najua utakua Argentina
Lavezzi anakosa nafasi ya wazi...
Pamoja sana...
Hao jamaa huonesha mechi kwa quality nzuri...
kutoka Di maria kumenipunguzia matumaini. harafu nimegundua club yenu inaua vipaji.Hahahahaha!!! Unajua nini dua la Ed n Edd nEddy huwa halimpati everlenk.....so tuungane tu kuishangilia Argentina.
Bado di maria ni pengo mpaka sasa, sababu ule upande wa kushoto hauna tena amsha amsha kama mwanzo na nadhani beki ameshukuru sana.. #teamchile
Bado di maria ni pengo mpaka sasa, sababu ule upande wa kushoto hauna tena amsha amsha kama mwanzo na nadhani beki ameshukuru sana.. #teamchile
Hahahahaha!!! Unajua nini dua la Ed n Edd nEddy huwa halimpati everlenk.....so tuungane tu kuishangilia Argentina.
Dissapointing 0-0. Haya mashindano ukitoa mechi ya (Argentina vs. Paragway, na mechi moja ya Makundi ya Chile) hayana magoli mengi .. (ushindi mwembaba 1-0, 2-1, ..)
Di Maria mchezaji mzuri sana isipokuwa huwa anapoteza sana mipira na anakimbia kama kuku aliyekatwa kichwa...
Kwa kasi yake ile alipaswa awe winga mkali kama Overmars, Giggs, Bale (wa Tottenham)...
Kunywa kinywaji chochote ulipo nakuja kulipa......umemaliza kaka....
kutoka Di maria kumenipunguzia matumaini. harafu nimegundua club yenu inaua vipaji.
Hahaha...naruhusiwa kuagiza na chakula (nyama choma)?
Usiwe na wasiwasi Wangu ushindi ni lazima.......ahhh!! Philosophy ya LVG ngumu kueleweka kwa haraka ila LVG herbal imeingia kisawasawa next season kijana atasumbua sana na atang'aa haswaa,Mark my words...
Teehe teeehe ukishinda ntakuja kukupa credit zako
Kama upo karibu na mangi apo kunywa soda kwa ela yako.. di maria atatisha sana next season