Coolant JF-Expert Member Joined Apr 19, 2015 Posts 1,256 Reaction score 2,201 Jul 4, 2015 #1,601 Watu8 said: www.goatd.net Fungua hapo na uitafute hiyo mechi katika list... Click to expand... Mkuu shukran link yako imenisaidia sana, naenjoy tu hapa
Watu8 said: www.goatd.net Fungua hapo na uitafute hiyo mechi katika list... Click to expand... Mkuu shukran link yako imenisaidia sana, naenjoy tu hapa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Jul 4, 2015 #1,602 mito said: Asante sana mkuu, nimeipata tayari Click to expand... Coolant said: Mkuu shukran link yako imenisaidia sana, naenjoy tu hapa Click to expand... Pamoja sana... Hao jamaa huonesha mechi kwa quality nzuri...
mito said: Asante sana mkuu, nimeipata tayari Click to expand... Coolant said: Mkuu shukran link yako imenisaidia sana, naenjoy tu hapa Click to expand... Pamoja sana... Hao jamaa huonesha mechi kwa quality nzuri...
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Jul 4, 2015 #1,603 Papupi nimefika tuko pamoja sasahivi wapi Paulo Sergio De Souz ?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Papupi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 2,029 Reaction score 3,245 Jul 4, 2015 #1,604 everlenk said: Papupi nimefika tuko pamoja sasahivi wapi Paulo Sergio De Souz ?? Click to expand... Pole sana, naona di maria kapata hitilafu sijui kama ataendelea Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
everlenk said: Papupi nimefika tuko pamoja sasahivi wapi Paulo Sergio De Souz ?? Click to expand... Pole sana, naona di maria kapata hitilafu sijui kama ataendelea
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 567 Jul 4, 2015 #1,605 Wadau vp Leo mna itabili vp Hii gemu ya chile na Argentina ?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Jul 4, 2015 #1,606 Di Maria nje, Lavezzi ndani
M Mr. Nice Guy Senior Member Joined Jul 3, 2015 Posts 190 Reaction score 27 Jul 4, 2015 #1,607 Kazi ipo leo
Paragumu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 326 Reaction score 142 Jul 4, 2015 #1,608 Itakuwa 1-1 tu kama T.stars na Uganda.
Papupi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 2,029 Reaction score 3,245 Jul 4, 2015 #1,609 Naona ushindi kwa chile unanukia, kuumia kwa di maria ni pengo kubwa sana.. #teamchile
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Jul 4, 2015 #1,610 Papupi said: Pole sana, naona di maria kapata hitilafu sijui kama ataendelea Click to expand... Anaendelea bado....
Papupi said: Pole sana, naona di maria kapata hitilafu sijui kama ataendelea Click to expand... Anaendelea bado....
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Jul 4, 2015 #1,611 everlenk said: Anaendelea bado.... Click to expand... Di Maria alishatoka...
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Jul 4, 2015 #1,612 everlenk said: Anaendelea bado.... Click to expand... Papupi said: Naona ushindi kwa chile unanukia, kuumia kwa di maria ni pengo kubwa sana.. #teamchile Click to expand... Ametoka.....hakuna shida roho bado ipo.....
everlenk said: Anaendelea bado.... Click to expand... Papupi said: Naona ushindi kwa chile unanukia, kuumia kwa di maria ni pengo kubwa sana.. #teamchile Click to expand... Ametoka.....hakuna shida roho bado ipo.....
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Jul 4, 2015 #1,613 Medel...kadi ya njano
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,228 Reaction score 68,246 Jul 4, 2015 #1,614 Haipendezi Vidal kila siku kufungwa na Messi kwenye fainali. (Rejea Fainali ya Uefa, Juve Vs Barca)
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Jul 4, 2015 #1,615 Paragumu said: Itakuwa 1-1 tu kama T.stars na Uganda. Click to expand... Achana na sisi kichwa cha mwenda wazimu. Hii ni fainali kaka....Hapo nani anashinda sasa
Paragumu said: Itakuwa 1-1 tu kama T.stars na Uganda. Click to expand... Achana na sisi kichwa cha mwenda wazimu. Hii ni fainali kaka....Hapo nani anashinda sasa
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 567 Jul 4, 2015 #1,616 Mm naona 1-0
E Ed n Edd nEddy JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 5,345 Reaction score 6,078 Jul 4, 2015 #1,617 everlenk said: Ametoka.....hakuna shida roho bado ipo..... Click to expand... Nimekutafuta mwisho wa siku nimekupata hapa ... Nikutakie machozi mema najua utakua Argentina
everlenk said: Ametoka.....hakuna shida roho bado ipo..... Click to expand... Nimekutafuta mwisho wa siku nimekupata hapa ... Nikutakie machozi mema najua utakua Argentina
M Mr. Nice Guy Senior Member Joined Jul 3, 2015 Posts 190 Reaction score 27 Jul 4, 2015 #1,618 Chile wanacheza bila malengo
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Jul 4, 2015 #1,619 Lavezzi anakosa nafasi ya wazi...
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 Jul 4, 2015 #1,620 Kutoka kwa El Fideo kunatupa nafasi ya kupumua angalau aya sasa Chile bakizeni ndoo gheto hapo