Italy wana rekodi kila baada ya miaka 12 kucheza Fainali world cup eg 1970 wakafungwa 4-1 na Brazil kule Mexico City,Mexico,1982 wakamfunga Ujerumani 3-1 kule Spain ktk uwanja wa santiago bernebeu jijini Madrid,1994 wakafungwa kwa penati na Brazil kule USA,na mwaka 2006 wakashinda kwa penati vs France kule Ujerumani,je 2018 wataendeleza rekodi yao kutinga fainali huko Russia?
Chile wanapata bao katika dakika ya 42 lilofungwa na Vargas
Kama la kubahatisha hivi...
.... Mimi sifurahishwi na refa kwa kweli atanifanya niwachukie Chile bure.
Mtu kwao...
Na kweli kuanzia hii ya robo final na leo ni direct mbeleko ......
Usijali fainali watapigwa...
Tuombe Argentina apite.......
Hata Paraguay anampiga huyu...
Halafu Chile kabaniwa bao hapo...haikuwa offside hiyo