Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Hili goma likiisha bila kufungana hadi dk 90, tutashuhudia matuta...
Kwani hakuna extra time mkuu?
Cavan kawaua wenzake kwa upu.mbavu wake
Muuruguay Mwingine anakula red baada ya faulu ya kawaida kabisa kumfanyia Alexis sanchez