Special Thread, COPA America 2015

Di maria nachompendea mimi z the best in assisting,i dnt knw what was the hell when he played for man u
 
Tata asipomuingiza Banega mpaka dakika ya 70, siangalii tena hii game.
 
Dah! huyu kipa wa Jamaica kaokoa goli la wazi kabisa.
 
Hehe halafu hii tv inanidanganya ujue, eti Messi anashindwa hata kutuliza mpira. Kweli chuki ziko kila mahali
 
Kila nikimuona Demichelis, nakumbuka tu alivyomkanyaga Rooney game ya Bayern vs United, wakati Rooney anacheza na sindano za kutuliza maumivu.
 
Na tatizo la argentina hawawez kulinda goli mpk mwisho, wacha waupake rangi badala ya kufunga wakina wagwan minadian wachomoe
 
Anaweza kujitengenezea jina na timu kubwa kumtaka huyu kama bado hajasajiliwa na timu kubwa, nimempenda kwa ustadi wake wa kulinda goli.

Na si hili tu kasevu kama magol mawili matatu hivi .........ile mambo imekataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…