Special Thread, COPA America 2015

Anaweza kupiga hata uwanja mzima chenga, akashindwa kufunga. What a break that was
 
ADM katika mechi zote leo umekuwa mtamu Mcharo haoni ndani.......
 
Acha hizo !!!! Yaani anajituma kweli ila magoli yamemkataa kabisa toka siku ya kwanza,malaika wake wa magol kamuacha camp Nou....

Haha wala sina noma nae, hilo tatizo analo kitambo. Ila work-rate yake ya hatari sana, bado najutia kwanini aliondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…