Na hilo ndo linatakiwa lifanyike sasa sisi tunaweza nin jamani? Hivi hakuna mashindano ya ufisadi labda? .......Juzi nimecheka nilikuwa naskiliza redio moja hapa bongo mmoja wa wasikilizaji akapiga simu akasema anashangaa hao wanaoitwa watanzania walioshinda mbio za magari maana last Sunday kulikuwa na ushindani wa mbio za magari sasa wote walikuwa ngozi nyeupe asili ya Hindi... Akasema itabidi na kwenye michezo mingine hasa mpira tutafute watanzania wa dizaini hiyo maana ndo inaonekana wanaiweza kazi.
Hivi United wanashindwa vipi kumtumia Di Maria?
Umeanza mambo yako....... Jibu ni kwamba ligi ya Uingereza ni ngumu... Hahahaha.... Mfumo wa LVG kwake ni mgumu pia ugeni lakini hata nahivyo he was better somehow ngoja tumcheki this season....
Higuaniiiiiiii!!!!!!!
Hehe mi nimeuliza tu, sina ubaya na United.
Hilo goli lilipikwa Madrid, Fideo + Pipita.
Inaelekea jamaa walitaka kumpa mkong'oto baada ya game kwisha. Hapa anaonekana akiwa analindwa na FFU.
Hapo tunaweza kuchukua kabisa namba maana wacheza wazuri wa kutosha wapo kwenye hii fani kuanzia wale walionunua Urais 2005 kwa mapesa ya kiufisadi, hawa wanaotaka kununua mwama huu, tutaweka na akina joka lenye makengeza, pesa ya mboga, mifuko yangu yoye imejaa pesa, hata majanu tutakula lakini rada lazima inunuliwe hao ni wacheza wachache wazuri sana katika fani hii sijawaweka wa wa EPA, Richmond, Meremereta, na wengine chungu nzima. Kombe lazima liguse ardhi ya Bongo.
Hahahaha!! Leo nakaa pembeni nataka uripoti mambo yote ya uwanjani .....usivyompenda sasa ndo jikaze tu ....ukipindisha ntakuwa nakuja kukuumbua.... Lol