dah connection ilinifanya sio ndio maana hukuniona, naona Dani Alves ali-dive nayo. Jamaa jana wamezingua sijaona, ila tuangalie mbele. Venezuela lazima aumie.
Pole sana jana nilitamani nikutanie lakini duh! Nikaona linanigusa hata mimi...........jana Colombia waliwakamata kabisa Brazil Haya maombi yangu Yale Yale fainaly iwe Brazil na Argentina.........ila Chile nao wanakuja kasi kwelikweli.....
wakuu tunaomba uchambuzi wenu pia kupitia world sport group join nasi kupitia +1661 486 4584Hahaha, ungejitania tu na wewe pia. Hapa ili jamaa wakutane final, inabidi wamalize katika nafasi moja kwenye groups zao, otherwise watakutana hatua ya kwanza ya mtoano.
wakuu tunaomba uchambuzi wenu pia kupitia world sport group join nasi kupitia +1661 486 4584
wakuu tunaomba uchambuzi wenu pia kupitia world sport group join nasi kupitia +1661 486 4584
Group C limekuwa tamu sana...
Kama jana nilivyotamani Peru ampige Venezuela ndio imetokea...
Game za mwisho za hili kundi zitakuwa hatari tu especially game ya Brazil vs Venezuela
Hizi game zote sasa itabidi zichezwe muda mmoja, Brazil wanajua wana deni kwa mashabiki na ulimwengu wa soka kwa ujumla, so najua watakaza kadri ya uwezo wao.
Nataka niione Brazil isiyo na Neymar ikicheza mchezo muhimu...
Inabidi wakaze kweli maana Venezeula wagumu sana...
Group C limekuwa tamu sana...
Kama jana nilivyotamani Peru ampige Venezuela ndio imetokea...
Game za mwisho za hili kundi zitakuwa hatari tu especially game ya Brazil vs Venezuela