Naona kama vile Brasil bado hawaja recover toka kwenye mkong'oto wa mkoloni.....
BAK mbona Ospina huku kawa mtamu hivyo?......
Mhhhhh! This time the tune will change to the wrong one when it comes to Falcao's registration lol! time will tell.
Mhhhhh! This time the tune will change to the wrong one when it comes to Falcao's registration lol! time will tell.
Niliwahi kuandika katika ule uzi wetu kwamba mafanikio ya Gunners mwaka huu pia yamechangiwa sana na maamuzi ya Wenger kumuweka golini Ospina badala ya yule mwenye kiherehere, kiherehere ambacho mara nyingi kimesababisha magoli ya kijinga. Kama utakumbuka tangu alipowekwa golini tulipoteza mechi chache sana labda mbili au tatu tu.
Ospina mzuri sana...
Makipa wa kilatino (Navas, Bravi, Ospina na yule kipa wa Mexico) wakijuza sana wakati wa world cup iliyopita...
Nasikia LVG anamtaka Navas lakini wengi wanapinga wanasema hatufai.......
15 minutes to go Colombia 1 Brazil 0
LvG hata haeleweki anamtaka nani kama De Gea akiondoka...
Hadi sasa nishasikia majina kama 6 ya makipa...
LvG hata haeleweki anamtaka nani kama De Gea akiondoka...
Hadi sasa nishasikia majina kama 6 ya makipa...
James kamiss ilibaki kidogo tu