Special Thread, COPA America 2015

Huyu Neymar wakati mwingine anazidisha mno madoido bana.....
 
Reactions: BAK
Colombia wanatupia...

Kazi ipo hapa
 
Mhhhh! Colombia 1 Brazil 0
 
Sidhani...

Hii ndio timu inayojua namna ya kuwatungua Brazil...

Yaani ndo nashangaa hapa hata kucoment nashindwa leo Colombia anacheza vizuri sana,leo garasa(coz anakwenda CFC) letu Falcao na lenyewe linaonyesha makali.....
 
Hawa Columbia wanacheza kwa fujo kweli. Wanatuongezea machungu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…