Special Thread, COPA America 2015

USA walikuja na mkakati wa kupata goli haraka haraka lakini ngome ya Nigeria na kipa wao wanajitahidi sana kuhimili vishindo toka USA sijui kama wataweza kufika HT kabla nyavu zao hazijatikiswa.

Soka kitu cha ajabu wanaweza kwenda hivyo hivyo kiaina,so far Nigeria wanajitahid
 
Reactions: BAK
Wanajitahidi sana kusema kweli, maana naona USA walikuja na kapu la kuzoa magoli watakuwa very frustrated kama mpaka HT watakuwa 0-0

Naona huko Australia Vs Sweden wametupia 1-1........Nigeria wakishinda hii mechi ntafurah sana.
 
Duh!! Messi asipokuwa makini anaweza kupata majeruhi wanamkamia sana kwenye hizi
Mechi.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…