usajili upi hapa unaozungumzia wa barca, manu au wa timu zote mbili?
naona timu zenye mastaa mambo yao magumuBRAZIL STARTING XI - Jefferson; Dani Alves,
Miranda, D.Luiz, Filipe Luís; Fernandinho,
Elias; Willian, Fred; Neymar, Tardelli.
naona timu zenye mastaa mambo yao magumu
Kwa hiyo kama hukuridhika na usajili wa 2015/2016 ndio bye bye MANU!? au bado unaminya kuogopa mashambulizi toka kwa kina nanihii? lol!
mechi nzuri na inakasi sana.Half time 1-1, entertaining match, Peru is not a pushover team at all.
Half time 1-1, entertaining match, Peru is not a pushover team at all.