Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dk 81

Tanzania Bara 1 - 1 Zambia
 
Huyu Chanongo mbona mchecheto..
 
Ivo Mapunda ni bonge la golikipa....anajua sana kucheza na mipira ya krosi
 
Mkuu mimi sasa hivi nimehamia kwenye kilimo cha pili pili kichaa, nataka zikiiva niponde ponde halafu naweka kwenye maji naenda kumnywesha Msomali na chai ya Tangawizi kali.
Hahahahahahahahahahahah!
Mzee 'Kinyesi'ameshindwa wewe utamuweza msomari kweli?
Hizo pilipili kawauzie wahindi tu.
Chezeya msomari wewe.
 
Dk 85

Tanzania Bara 1 - 1 Zambia
 
Mechi kama ya leo inabidi kutumia sana set pieces...
 
Dakika 4 zimeongezwa....
 
Dk 90 + 2

Tanzania Bara 1 - 1 Zambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…