Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dk 35

Kili 0 - 1 Kenya
 
Kama ningekua Polsen ningemtoa Amri Kiemba faster na kumuingiza Chanongo ili tukimbize.Kisha kipindi cha pili ningemtoa H.Dilunga na kumuingiza Chuji.
 
Kama ningekua Polsen ningemtoa Amri Kiemba faster na kumuingiza Chanongo ili tukimbize.Kisha kipindi cha pili ningemtoa H.Dilunga na kumuingiza Chuji.
Ungekua, lakini huwezi kua.
 
Dk 40

Kili 0 - 1 Kenya
 
uwanja mbaaayaaaa mpaka wachezaji wanakosa ball control...........
 
Dk 45

Kili 0 - 1 Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…