Sasa mie tayari n'shatoroka kazini, ngoja nirudi kinyemela; bosi akijua sijui itakuwaaje?
Arafu niliwaona wenzako wamesimama mstarini pale kazini kwenu.Sasa mie tayari n'shatoroka kazini, ngoja nirudi kinyemela; bosi akijua sijui itakuwaaje?
Taarifa tulizo nazo hadi sasa ni kwamba itachezwa saa 12 jioni jijini Nairobi uwanja wa Nyayo, uwanja wa Kenyatta ulioko Machakos umejaa maji. Ingawa kulikuwa na mabishano kati ya katibu mkuu wa CECAFA na mwenyekiti wa Federation ya Kenya, mwenyekiti wa Federation ya Kenya alitaka maji yatolewa na game ipigwe hapo hapo Machakos lakini katibu wa CECAFA ndo aliyeamua ihamishiwe Nairobi.Dah hii mechi ya Stars hadi saa kumi?
Sasa mie tayari n'shatoroka kazini, ngoja nirudi kinyemela; bosi akijua sijui itakuwaaje?
Taarifa tulizo nazo hadi sasa ni kwamba itachezwa saa 12 jioni jijini Nairobi uwanja wa Nyayo, uwanja wa Kenyatta ulioko Machakos umejaa maji. Ingawa kulikuwa na mabishano kati ya katibu mkuu wa CECAFA na mwenyekiti wa Federation ya Kenya, mwenyekiti wa Federation ya Kenya alitaka maji yatolewa na game ipigwe hapo hapo Machakos lakini katibu wa CECAFA ndo aliyeamua ihamishiwe Nairobi.
Mkuu kazini huwa hatutoroki, huwa tunatoka kidogo, kutoroka ilikuwa ni shuleni.
Jamani tuambiane ukweli watu tunataka toroka kazini
Wakenya huwa hawaipi kipaumbel kabisa hii michezo yaani kuunga unga tu!
Hapa Tanzania ndio wanapataga pesa zaidi wakileta CECAFA
Mkuu hii habari imenisikitsha sana..mi nshatoroka kitambo..
Kwa kweli sijui, nadhani watarudishiwa hela zao.Na mashabiki waliolipa viingilio vyao huko Machakos watahamishishiwa Nairobi au ndiyo imekula kwao?
Ni kweli maana mtu unapokuwa mkubwa unakuwa na majukumu mengi sasa huwezi kuwa unaomba ruhusa kila muda, saa nyingine unaamua kutoka kidogo bila kutoa taarifa popote.Asante Mkuu Masuke kwa masahihisho, tayari n'sharudi na boss kaniuliza ulikuwa wapi? Nikamjibu nilitoka kidogo. Masahihisho yako ni kama vile ulikuwa nami.
Jamani tuambiane ukweli watu tunataka toroka kazini
Habari zenu wakuu..'
Sasa mie tayari n'shatoroka kazini, ngoja nirudi kinyemela; bosi akijua sijui itakuwaaje?
Salama aisee, sijui wewe??