scatter JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,671 Reaction score 940 Dec 7, 2013 #541 daah mungu ibariki tz
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Dec 7, 2013 #542 Ni muda wa kocha kumuingiza chuji sasa.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #543 mwitu said: km kuna kadi nyekundu ndo basi tushafungwa Click to expand... tunashinda usiogope.. ivooooooooooooo nice..
mwitu said: km kuna kadi nyekundu ndo basi tushafungwa Click to expand... tunashinda usiogope.. ivooooooooooooo nice..
Kipaji Halisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 2,280 Reaction score 1,364 Dec 7, 2013 #544 watu8 said: Uganda wanapata freekick katika edge ya boksi la 18... Ni hatari sana kwa Stars.... Mapunda anajirusha kama nyani na kuutoa mpira uliopigwa na Okwi...kona Mapunda anaokoa kona na kufanya kazi ya ziada...kazi nzuri ya Ivo. Click to expand... Ngapi ngapi mkuu
watu8 said: Uganda wanapata freekick katika edge ya boksi la 18... Ni hatari sana kwa Stars.... Mapunda anajirusha kama nyani na kuutoa mpira uliopigwa na Okwi...kona Mapunda anaokoa kona na kufanya kazi ya ziada...kazi nzuri ya Ivo. Click to expand... Ngapi ngapi mkuu
L Lubama Member Joined Feb 1, 2010 Posts 60 Reaction score 14 Dec 7, 2013 #545 Ahsante mkuu, niamini tu kwamba imenipita. Ngoja niisikilize radio tanzania iliyobadilishwa jina.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #546 mandieta said: Ni muda wa kocha kumuingiza chuji sasa. Click to expand... sawa kabisa mkuu ili aongeze nguvu..
mandieta said: Ni muda wa kocha kumuingiza chuji sasa. Click to expand... sawa kabisa mkuu ili aongeze nguvu..
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Dec 7, 2013 #547 watu8 said: Mkuu UBC ya Uganda wapo hewani...hivi visimbusi vya TZ kwani havina hii stesheni? Click to expand... Wakati wanaanza walikuwa nayo pamoja na KBC1, na zilikuwa zinaonyesha ligi ya mabingwa ulaya, nadhan DSTV waliweka kauzibe zikaondolewa zote.
watu8 said: Mkuu UBC ya Uganda wapo hewani...hivi visimbusi vya TZ kwani havina hii stesheni? Click to expand... Wakati wanaanza walikuwa nayo pamoja na KBC1, na zilikuwa zinaonyesha ligi ya mabingwa ulaya, nadhan DSTV waliweka kauzibe zikaondolewa zote.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #548 Dk 60 ug 1 - 2 tz
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,275 Reaction score 108,278 Dec 7, 2013 Thread starter #549 Dk 62 Uganda 1 - 2 Kili Stars
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #550 hii inabidi tutulie sana..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,275 Reaction score 108,278 Dec 7, 2013 Thread starter #551 Kipaji Halisi said: Ngapi ngapi mkuu Click to expand... Bado tupo mbele kwa bao 2...
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Dec 7, 2013 #552 Uganda wamesha lala
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #553 Lubama said: Ahsante mkuu, niamini tu kwamba imenipita. Ngoja niisikilize radio tanzania iliyobadilishwa jina. Click to expand... ivo ni kipa muzee..
Lubama said: Ahsante mkuu, niamini tu kwamba imenipita. Ngoja niisikilize radio tanzania iliyobadilishwa jina. Click to expand... ivo ni kipa muzee..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,275 Reaction score 108,278 Dec 7, 2013 Thread starter #554 Masuke said: Wakati wanaanza walikuwa nayo pamoja na KBC1, na zilikuwa zinaonyesha ligi ya mabingwa ulaya, nadhan DSTV waliweka kauzibe zikaondolewa zote. Click to expand... So far kisimbusi cha Easy TV kinaonesha kupitia UBC...
Masuke said: Wakati wanaanza walikuwa nayo pamoja na KBC1, na zilikuwa zinaonyesha ligi ya mabingwa ulaya, nadhan DSTV waliweka kauzibe zikaondolewa zote. Click to expand... So far kisimbusi cha Easy TV kinaonesha kupitia UBC...
Tiba JF-Expert Member Joined Jul 15, 2008 Posts 4,607 Reaction score 3,187 Dec 7, 2013 #555 Mungu Ibariki Tanzania tushinde mechi hii. Uganda uwa wanatuonea sana hao. Tiba
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #556 TIQO said: Uganda wamesha lala Click to expand... tena dododo..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,275 Reaction score 108,278 Dec 7, 2013 Thread starter #557 Kili Stars wanakaribisha sana mashambulizi....wanapaki sana basi
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Dec 7, 2013 #558 Lubama said: Ahsante mkuu, niamini tu kwamba imenipita. Ngoja niisikilize radio tanzania iliyobadilishwa jina. Click to expand... TBC1 wanasema wataonyesha recorded kuanzia saa kumi.
Lubama said: Ahsante mkuu, niamini tu kwamba imenipita. Ngoja niisikilize radio tanzania iliyobadilishwa jina. Click to expand... TBC1 wanasema wataonyesha recorded kuanzia saa kumi.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 7, 2013 #559 Tiba said: Mungu Ibariki Tanzania tushinde mechi hii. Uganda uwa wanatuonea sana hao. Tiba Click to expand... usihofu tutashinda tu..
Tiba said: Mungu Ibariki Tanzania tushinde mechi hii. Uganda uwa wanatuonea sana hao. Tiba Click to expand... usihofu tutashinda tu..
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,547 Reaction score 2,194 Dec 7, 2013 #560 Dk ya ngapi