Nina wasiwasi TBC wameacha kuonyesha labda kuhusiana na kifo cha Mzee Mandela kwamba wataonekana ovyo kwa kuonyesha michezo wakati wa msiba mkubwa kama huu! Ni hisia zangu tu. Nashangaa hata hiyo makala wameirudia upya!! Au yawezekana wanahangaika na mitambo yao, si wajua tena, national Tv yetu ujanjaujanja wakati mwingine!?
Mimi naona katika Goon TV hadi sasa bao 1-1 dakika ya 30 first half!!