Timu yetu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) hivi punde (saa 08:00 mchana) itajitupa uwanjani dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda Cranes) katika robo fainali ya Challenge Cup huko kwa Wajivuni. Tuiombee dua njema timu yetu ifanye vitu vyake!
Ivo Mapunda
Kevin Yondan
Erasto Nyoni
Said Moradi
Frank Domayo
Abubakary Salum
Amri Kiemba
Haruna Chanongo
Mrisho Ngassa
Thomas Ulimwengu
Mbwana Samatta