Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dk 90

Kenya 2 - 0 Zanzibar
 
Kenya anaungana na Sudan, Ethiopia na Uganda kwa hatua ya Robo Fainali.

Timu nyingine nne zitajulikana kesho na keshokutwa baada Kundi B & C kumalizia mechi zao za mwisho.
 
Hivi hao ndg zetu wa znz ndio wametolewa au best looser!!
 
Kenya anaungana na Sudan, Ethiopia na Uganda kwa hatua ya Robo Fainali.

Timu nyingine nne zitajulikana kesho na keshokutwa baada Kundi B & C kumalizia mechi zao za mwisho.

Hakuna best looser?? Tbc 1 walionyesha mpaka mwisho. Nawashukuru still hawaaminiki
 
Tanzania 1-0 dk ya nane goal safi la kichwa by samatta
 
Mkuu watu8 upo wapi ?

Jamaa wanashambulia tz wamepata kona hapa
 
Last edited by a moderator:
Hakuna best looser?? Tbc 1 walionyesha mpaka mwisho. Nawashukuru still hawaaminiki

Nafasi ya best looser ipo na ni nafasi mbili tu, sasa sijui kama Zanzibar watapita...tusubiri
 
Combination ya ulimwengu ipo poa sana

uwanja una teleza teleza faulo hapa dk20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…