Hilo goli la pili la Kenya kama alilofunga Asamoah dhidi ya Simba siku ya fainali ya Kagame mwaka juzi, tofauti tu ni kwamba ile cross ilitoka kushoto na hii imetoka kulia.
Tafadhali mkuu, najua wewe ni mwenzangu pale Msimbazi lakini jamaa alitupiga goli zuri na nilitoka Taifa nimehuzunika sana, aliunganisha cross ya Rashid Gumbo baada ya kumfunga tela beki mbili wetu sijui alikuwa Kapombe na kumkuta Kenneth Asamoah akaruka na kupiga kichwa huku akimwacha Kelvin Yondani ameinama na Juma Kaseja hakuwa na la kufanya, hiyo ilikuwa ni dakika ya 118.
Yaani mpira wa A. Mashariki siuelewi kabisa ivi CECAFA wameruhusu vipi timu zinacheza uku jezi zinakaribia kufanana yaani kwa mbali uwezi tofautisha tanzania na somalia
Yaani mpira wa A. Mashariki siuelewi kabisa ivi CECAFA wameruhusu vipi timu zinacheza uku jezi zinakaribia kufanana yaani kwa mbali uwezi tofautisha tanzania na somalia
Cecafa wanajali wapate pesa ya mikataba kutokan na udhamini wa mashindano! Mengineyo km jezi, ubora wa viwanja n.k ni mbele kwa mbele! Kimpira kwa huu ukanda wa cecafa bado sana, full magumashi!