Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
B52 kama unavyojiita mwenyewe naona jina langu lipo kwenye vidole vyako, kweli naamini umenizimikia. mimi mbona nilishamsalimu Judgement kwenye ile post ya pole? hata hapo huoni kanitaja?
Ndiyo mkubwa, ya pikipiki kugongwa na gari .
Sawa Blaki Womani tuko pamoja daima!pole sana mkuu mkono wa uponyaji wa Mwenyezi Mungu ukufikie hapo ulipo....ugua upone haraka urudi katika shughuli zako za kila siku Mungu yu pamoja nawe Amina.... Erickb52 asante kwa kunikumbusha
Yan hata kuziona mi huwa sitaki maana jamaa hata hawaelewi kabisa!Pole sana..Hizi pikipiki sizipendi kabisa....Ingekuwa amri yangu ningezipiga marufuku..
Hivi we mwanamke umekuja kusuta au kutoa pole?B52 kama unavyojiita mwenyewe naona jina langu lipo kwenye vidole vyako, kweli naamini umenizimikia. mimi mbona nilishamsalimu Judgement kwenye ile post ya pole? hata hapo huoni kanitaja?
ha haaaaaaaaaaa, kama ni hivyo bora nimetelekezwa kabla hata ya kutoa posa, ntapeleka mchumba mwingine...... mimi naamini kitu kama si chako huwezi kukipata hata utumie nini............... kama kaingia mitini basi hakuwa wangu
Sawa Blaki Womani tuko pamoja daima!
Tushakuwa ndugu lazma tushirikiane hata kwa mambo ya kijamii ila sio ya kijamii ya King'asti teh!
Hahahahaaaaa Blaki Womani naomba nimwombe Mungi anisaidie kuzifikisha salamu zako kwa ukaribu maana nahisi kwangu ntazichelewesha sana!ni kweli unayosema ukiwa kwenye shida ukapata watu wanakujali na kukusalimu unapata faraja sana....BTW fikisha salam zangu kwa Kabakabana kabla hajaenda rocky city kumpa kampani mwalimu
Ndio ujue wewe ulikuwa wangu na naamini kwa sasa hutakuwa na kipingamizi tena na mimi sina haraka ukitaka njoo kwangu hutaki tambaa wala sibembelezi coz kwanza ninao wengi nataka kuwaunguza abaki Amyner tuha haaaaaaaaaaa, kama ni hivyo bora nimetelekezwa kabla hata ya kutoa posa, ntapeleka mchumba mwingine...... mimi naamini kitu kama si chako huwezi kukipata hata utumie nini............... kama kaingia mitini basi hakuwa wangu
wala usipate shida, mimi sitakuja kwako, nakusaidia kukuondolea shida ya kunipunguza maana wengine hapa tukishaingia ndoani huwa hatutoki, na nakuhakikishia hutapata sababu ya kunipunguza, so ni bora nisiingieNdio ujue wewe ulikuwa wangu na naamini kwa sasa hutakuwa na kipingamizi tena na mimi sina haraka ukitaka njoo kwangu hutaki tambaa wala sibembelezi coz kwanza ninao wengi nataka kuwaunguza abaki Amyner tu
Hahahahaaaaa Blaki Womani naomba nimwombe Mungi anisaidie kuzifikisha salamu zako kwa ukaribu maana nahisi kwangu ntazichelewesha sana!
Ila naamini hajambo popote aliko!
Halafu madame huyu binti FP ananisumbua sana sijui nimfanyaje hebu nisaidie