Special Sunday dedications

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
jamani habari? naomba tutpiane vi dediksheni maalum kwa jumapili ya leo ya kufunga robo tatu ya mwaka 2012

mie kwa kuanza nawadediketi wana cc woote wimbo wa Tanzania Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote

karibuni na wengine kwa dedikesheni
 
kama kuna msukuma ana wimbo wa Ng'wana Kanundo naomba anisaidie hapa jamani
 
Beautifull onyenyi- Psqure
kwa warembo wa jf wote
nawatakia j.pili njema yenye amani na furaha
wawakilishwe na wafuatao
*kongosho
*Madame B(wangu)
*charmnglady
*Mamdenyi
*sweetlady
*snowhite
*lara1
*Preta
*Kaunga
*Remmy
*ummy
*King'asti
*Kokutana
*black woman
*Cute
*smile
*Madame x
*Radhia sweety
*Elizabert Dominic

Nawengine wote nilio wasahau.
 

*@cantalisia
 

Mungu Hakukosea Aliponikutanisha na Wewe.
 
asante ruta.

Mie natuma dedikesheni kwa masela wote wa Mwembe chai.
 
Mie nawadediketia wimbo wa manju wa kisukuma kutoka simiyu! " ilimugana, ibukije malogoto yasoselagwa" Ahahahaaaaaa!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…