mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,313
- 291
Ndugu wadau wa Jf
Ningependa kufahamu kuhusu software ya aina hiyo kama ipo, Ambayo baada ya kuwa installed in a computer then ukifika muda fulani (Ambao nitakua nimeipangia) Basi Computer inajizima yenyewe
Kwa maana hiyo nitaweza kuinstall hata kwenye computer Hamsini na ukifika muda niliopanga zinajizima zote kwa Pamoja.
Natanguliza shukrani za Dhati kabisa