special kwa wanyaru

special kwa wanyaru

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
1185025_703210146362812_1489780111_n.jpg
 
Hiyo pombe inakuchonga na kuwa sawa na huo muwanzi!
 
Duu umenikumbusha mbali sana Enzi za igwachanya na kitewasi. Utamu wa ulanzi (ulasi) ni kunywa asubuhi sana ukiwa mtoogwa (low alcohol percentage)ukinywa jioni unakuwa mdindifu High alcohol percentage na huu ndo unawachonga sana watumiaji. Hongera kwa aliyegundua ulanzi
 
Back
Top Bottom