Special kwa wachagga tu.

Ni safi saana lakini balaa lake ni chooni huwa inatoa harufu ukienda haja ndogo.Na ikilala inakuwa NGERA inazidi ukali.
 
Huyo mama mwenye kaki alivyo na kiu?
 
"Masambu" ni yale machicha yanayolala chini kabisa
Ukiichanganya na konyagi ni nomaa wee acha tu babangu
 
Aisee babangu inabidi TBL watengeneze special kama ile Chibuku waisambaze kila mahali..
 
Kuna mtu mmoja hajapitia hapa,ntashangaa labda bundle imekuwa tatizo
 
Kwa kuitazama tu hii itakuwa ya kibosho au sio miss chagga?? Tatizo hii kabla hujainywa ni lazima usikitike hapo ndio panaudhi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…