special forces!



shalom
meir dagan hajambo?
 
 
Mkuu Mossad007 nashukuru kwa kutanua comment yangu na kwa ufafanuzi zaidi.Ndio uzuri waJF!
 

MD25: Commandos JWTZ wapo, walitoa demo kwenye shrerehe fulani uwanja wa Taifa last year. Kuna vikosi vyao kadhaa, kimoja kipo Ngerengere. Commando mmoja aliruka kwenye ile ajali ya treni some years ago,, aliruka treni ikiwa ina rudi nyuma kwa kasi almost 80kmh pale Salanda akiwa amembeba kijana begani. Huyo commando namfahamu, ila ameshastaafu kwa sasa!!! Hapa kwetu siyo lazima tuwape majina kama ya nchi za magharibi
 

MD25: Commandos JWTZ wapo, walitoa demo kwenye shrerehe fulani uwanja wa Taifa last year. Kuna vikosi vyao kadhaa, kimoja kipo Ngerengere. Commando mmoja aliruka kwenye ile ajali ya treni some years ago,, aliruka treni ikiwa ina rudi nyuma pale Salanda akiwa amembeba kijana begani. Huyo commando namfahamu, ila ameshastaafu kwa sasa!!! Hapa kwetu siyo lazima tuwape majina kama ya nchi za magharibi
 
Tanzania hakuna makomando wala wanajeshi ni ma scout tu
 

nimeishawahi kuisikia stori hiyo kutoka kwa mjeshi mmoja ambaye pia ni komandoo.
 

Park;
Mimi siku zote huwa najiuliza Tanzania tunakosa nini, hasa kwa kipindi hiki nashindwa kuelewa. Well trained and intelligent human resources tunao, non human resources za muhimu kv madin, gas n.k. tunavyo, universities and colleges sasa hivi za kumwaga. Hivi tunakosa nini? Maelezo yako hapo juu yanaweza kusababisha mtu asiamini kuwa ni kweli lakini ninajua unachoongea una zaidi ya uhakika nacho! Ahsante sana.
 
Tatizo kubwa ni kuingiza siasa na ubabaishaji kwenye mambo ya msingi.Pia kutokuwa na vipaumbele vichache vyenye ukomo.Pale tutakapoweza kutenganisha uwaziri na ubunge,hapo ndiyo tutaanza kusonga mbele.. Haiingii akilini kutumia baadhi ya vikosi vyetu vya majeshi kuwadhibiti CUF wakati wa uchaguzi huko nyuma kule Visiwani.Polisi hali kadhalika.Pia tumeachia nchi 'ikatekwa' na kikundi kidogo cha watu wanaoona kwamba bila wao hakuna Tanzania,baadhi yao wanadai wakiondoka madarakani 'hamuwezi kupata Waziri kama mimi' n.k. Tatizo jingine uwajibikaji uko chini na baadhi ya mawaziri hawataki mifumo halali ifanye kazi mfano Waziri Mwakyembe yeye ndiyo Bodi ya Bandari, yeye ndiyo menejimenti, yeye ndiyo mlinzi wa bandarini n.k Baadhi ya wananchi kwa kutokujua wanamwona kama anafanya kazi lakini hiyo si kazi yake. Kuna watu wanalipwa kwa kazi hizo. Yeye anafanya hivyo kwa malengo binafsi tu.Inamaana akitoka katika hiyo Wizara kila kitu kinasimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…