Ama kweli nimekubali katoto kadogo kana anza ka dokta na akisha kuwa baba ndio tutakwenda kuwomba msaada wa madokta waje bongo kwa hayo maandalizi yao huku kwetu wadogo wetu wako bezzy na mikokoteni na karanga na kahawa na kashata kuwokota vichupa vya uhai na wakiletwa bongo tuna lalamika kwa sababu ya mikataba yao huwa bomba ni safi no tusi