special doctor

special doctor

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BlHthXbCMAAntEQ.jpg:large
 
Wow....doctor mcute sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ama kweli nimekubali katoto kadogo kana anza ka dokta na akisha kuwa baba ndio tutakwenda kuwomba msaada wa madokta waje bongo kwa hayo maandalizi yao huku kwetu wadogo wetu wako bezzy na mikokoteni na karanga na kahawa na kashata kuwokota vichupa vya uhai na wakiletwa bongo tuna lalamika kwa sababu ya mikataba yao huwa bomba ni safi no tusi
 
Watoto wa kibongo badala ya kuwahiza wasome usiku tunawahimiza akishakula wakalale ili baba na mama wacheze game
 
Kumbe huyu mtu anapataga muda wa kufanya masihara na watoto!
 
Back
Top Bottom