Special dedication to JF ladies[MMU] from .......


Hapana

Kwenye maisha ya kiuhalisia mambo ni tofauti kabisa

Ukishaanza kufanya jambo kwasababu nae amefanya na kuacha kufanya kwakuwa yeye hajafanya sio sahihi kabisa
Ili jambo lolote au nchi yoyote iendelee kunatakiwa kuwe na wale wanaishi kwenye uhalisia

Uhalisia ni kuishi kwa upendo
Upendo una kanuni moja tu,nayo ni kuutoa bila kujali kama wewe unapewa ama laa
Ukishaanza kuhoji hiki sijafanyiwa nami sifanyi huo sio upendo na kama sio upendo sio uhalisia

Kwenye ndoa au mahusiano unachotakiwa kufanya ni kutoa upendo tu
Hadi kufikia mmekuwa kwenye mahusiano inatakiwa uwe umeshafanya angalizo ya haya uliyoniambia hapo juu
Kuingia kwenye mahusiano bila kujiuliza hayo na ukaja kujiuliza ndani ya mahusiano ni hatari sana

Yafurahie mahusiano yako kwa sababu furaha unayo na haitoki kwenye mahusiano hayo
J4 njema!!
 
Kikabila gani hiki ulichoandika?

Ulishawahi kuahidiwa au kukipata kitu ulichokuwa una mzuka nacho wa kukipata?

Amini usiamini hadi nimeshindwa ku type kabisa baada ya kusoma jibu lako...lol!!
 
Ulishawahi kuahidiwa au kukipata kitu ulichokuwa una mzuka nacho wa kukipata?

Amini usiamini hadi nimeshindwa ku type kabisa baada ya kusoma jibu lako...lol!!

Kwa hiyo umego crazy hadi kumechanganya herufi kwenye KEYBORD?

Relax
 
Amina mungu akubariki nakutakia heri ya mwaka mpya
 
ujumbe mzuri I wish hao wanaume nao wangewapenda watu wao ingekuwa poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…