Special counsel named to probe Trump-Russia ties...

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,278
23,233
Besieged from all sides, the Trump administration appointed former FBI Director Robert Mueller Wednesday evening as a special counsel to oversee the federal investigation into allegations Russia and Donald Trump's campaign collaborated to influence the 2016 presidential election.

FBI+Director+Robert+Mueller+Testifies+Senate+S8Q9Vzc8_Wal.jpg

Deputy Attorney General Rod Rosenstein appointed Mueller to the position in a letter obtained by CNN. Attorney General Jeff Sessions previously recused himself from any involvement in the Russia investigation due to his role as a prominent campaign adviser and surrogate.

As special counsel, Mueller is "authorized to prosecute federal crimes arising from the investigation of these matters," according to the Justice Department order Rosenstein signed.

The appointment came as Democrats insisted ever more loudly that someone outside Trump's Justice Department must handle the politically charged investigation. An increasing number of Republicans, too, have joined in calling for Congress to dig deeper, especially after Trump fired FBI Director James Comey who had been leading the bureau's probe.
 
Kumbe wenzetu walishapitia mambo ya Tume na Kamati za uchunguzi wakaona zinazingua, zikimaliza kazi zinakabidhi ripoti, unazuga zuga na sherehe ya kukabidhi ripoti kidogo, noma linapita.

Huyu Special Counsel ameambiwa wewe ukimaliza kazi ukakuta kuna madudu hakuna kupeleka ripoti kwa mtu, nenda kashtaki wewe mwenyewe.

Mkuu wa Kamati Maalum, Harrison Mwakyembe, mpaka leo anatembea na siri za ushahidi kwenye begi lake, mkimtingisha kidogo bungeni anatishia kuanika ushahidi dhidi ya Lowassa. Akisema hivyo tu watu wote tunaopenda upinzani tunazima!
 
We acha tu, huyu, special counsel, anapewa uwezo wa kumweka kitimoto mpaka na hata Rais mwenyewe! Nafuu yake Trump ni kwamba huyu hana nguvu kama independent prosecutor! Huyu wa pili ni kiboko na hawajibiki kwa yeyote wakati yule wa kwanza anawajibika kwa ofisi ya Mwanasheria Mkuu.
 
A nice move towards Trump allegation. Trump thought sucking James Comny would end the game
 
Sasa inaelekea historia inaweza kujirudia, yale ya watergate scandal iliyomfurusha Richard Nixon madarakani miaka ya 70! Kwa Trump Wamarekani wamenunua nazi koroma au chungwa dansa!
 
lazima akajifungie mahala na james comey kwanza wazungumze kwa kina....
maana comey ndio ana nondo zote ambazo trump zilianza kumjambisha...kuhusu urusi...
 
Kumbe huyu mchunguzaji yupo huru na kaambiwa siyo lazima aiambie wizara majibu ya uchunguzi, Kumbe Trump alishauriwa na mkwe wake ili alambe kichwa cha Comey, na sasa huyo huyo mkwe kamshauri Trump accountattack hii kitu, Unaambiwa wizara imempa Trump taarifa ya kachaguliwa mtu atakaemchunguza baada ya barua kuwa imeshasainiwa na kutumwa kwa mchunguzaji. TRUMP ANALO HILO.
 
Mzee wa wigi wape siri zote Urusi kwa kuwa hawa jamaa wameshakuelekeza qibla bado kukuchinja tu, wakimwaga ugali we mwaga mboga.
Nalog off
 
Trump hiyo kazi ishamshinda.

Sitaki kutabiri hatma yake maana huko nyuma tabiri zangu zote zilinitokea puani lakini kwa jinsi mambo yanavyoenda....dalili za yeye kuendelea si nzuri.

I think the job is too big for him. He can't even stop himself from tweeting and misspelling words along the way.

Vice President Pence will make a great president......
 
Kumbe huyu mchunguzaji yupo huru na kaambiwa siyo lazima aiambie wizara majibu ya uchunguzi, Kumbe Trump alishauriwa na mkwe wake ili alambe kichwa cha Comey, na sasa huyo huyo mkwe kamshauri Trump accountattack hii kitu, Unaambiwa wizara imempa Trump taarifa ya kachaguliwa mtu atakaemchunguza baada ya barua kuwa imeshasainiwa na kutumwa kwa mchunguzaji. TRUMP ANALO HILO.
Na bado...kupambana na media za Marekani ni sawa na kujitia kitanzi, kila siku bomu jipya linalipuliwa na mtu hujakaa sawa lingine hilo. Naambiwa kuna msururu wa mabomu yanayosubiri kulipuliwa na mathalan sasa kateuliwa special counsel, tukae tu mkao wa kula tukiandaa popcorn zetu.

Huyu special counsel, Robert Mueller, kikatiba Trump anaweza kumfuta kazi kama ilivyotokea kwa James Comey lakini swali ni je atathubutu? Akiteleza tu kwa kujidanganya au kwa kudanganywa, safari hii yatakayompata atawasimulia wajukuu zake, kwani atateuliwa ambaye ni mkali zaidi.

Huyo atakayeteuliwa anaitwa independent counsel na huyu hana mipaka katika uchunguzi wake na Rais hawezi kumfukuza hata kama angetamani afanye hivyo. Trump angenyamaza angedumu lakinui kwa ujinga wake alidhani yuko juu ya sheria; hilo lawezekana tu hapa kwetu Bongo.
 
Back
Top Bottom