Special Case!! Authorized Mchepuko..

Kiingereza? Kaka yako anaongea chingereza kama kazaliwa ulaya

ulaya au wilayani, nahisi kazaliwa wilayani we ukasikia ulaya, kakudanganya, we huoni hata Hilo jina lake? Limekaa kiulaya ulaya?
 
watu wasio na kazi utawajua tu

ndo maana hamkupata :second::second::second:
 
ulaya au wilayani, nahisi kazaliwa wilayani we ukasikia ulaya, kakudanganya, we huoni hata Hilo jina lake? Limekaa kiulaya ulaya?

My husband sio limbukeni kama wewe. Hata angekuwa ulaya anamaintain culture
 
My husband sio limbukeni kama wewe. Hata angekuwa ulaya anamaintain culture


Nakotogwile nke one sn!

Sasa hapa wifi yako mwallu namruhusu akufasilie Na ugomvi Wetu Na yeye unakwisha!
 
Last edited by a moderator:
watu wasio na kazi utawajua tu

ndo maana hamkupata :second::second::second:
mambo mrembo? habari za blue monday?

karibu coffee!!

unakumbuka ile proposal ya ndoa? sitaki kukufanya mchepuko bibie!
 
asante best ila nlishakunywa togwa si unajua huku vijijini kwetu

nami sipendi kabisa ndo maana :wof::wof:
mambo mrembo? habari za blue monday?

karibu coffee!!

unakumbuka ile proposal ya ndoa? sitaki kukufanya mchepuko bibie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…