Wee koma usinizushie uongo.
Huyu mkorofi ananichokoza.
My douta mi nakupendeaga hapo tu. Ntamwambia dadii akununulie zawadi
yote mupenzi...
nakuchokozea wapi bibi...?
Nilikuwa nakujaribu tu huna lolote ni mapengo yanakuwasha babu.
Kupenda sio shida, swali je unaempenda anakupenda babu???
Si hapaaaaa......
nae atanipenda taratibu....
Mdogo wangu/my wii kantangaze.....nipo hapa niambie
I miss you
Umenimiss wapi hata pm sijaona lol
Wii m mvivu huko kunako pm.duh.i wish osngewekwa yaani.
nipo hapa mbona? na wewe kwa kunivungia hujambo :wacko::wacko: