Km mkinifukiza Na Udugu unakufa!
Saidieni wenye njaa!
Dhambi kubwa.......uvivu
Dhambi kubwa.....uchoyo
Mkuu kiwatengu mwallu Na Mentor have to learn kutoka kwetu sisi bhana!
Wewe huoni Mimi Na Khantwee tunavyopendana? Zekidon Na swaga zake zote za ualaya anaishia kupigwa kibuti tu!
Khantwe luv u so much! Michepuko kwangu NOOO!
miss chagga Mr Rocky kaja, Ngoja nimuite pembeni nimpe habari za michepuko yako!
i see now ur gaining experience in high speed.
hongera sana shemeji.
yes shem!!
Experience ya nini