hapa sio kama nashabikia kuchepuka hapana..
naona iwe hivyo tu na wandugu wengine
Watoe uoga.
Basi hapa ili kuweka tuweke mambo sawa, uwe na njia kuu moja na nyingine
iwe yakutokea tu!! but in special case, kwa mfano foleni zilee za ku around moon plus kukuza
Kijacho.
Afu kitu kingine ni kuwa dhana ya kuchepuka imekuwa sana na kupata umaarufu hapa jukwaani.
Si mbaya tukiverify kabisa..
For Both Ladies and Gentlemen, sema tu nani Njia kuu na Nani mchepuko.