Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?
Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?

Her behaviour is typical for any woman who has never been in marriage or labour.
Linyungu umenena vema lakini wabunge wangu wa CHADEMA wamekosea kama makinda analazimisha kwa nguvu walichotakiwa wao ni kutoka nje nili wasiwe sehemu ya bunge kukaa kama kamati kupitisha bajeti ya wizara husika wakati kimsingi akidi ya wabunge haitoshi na kanuni zinasema hivyo,na mbaya zaidi Makinda wala hakuhangaika ku-veryfy kama akudi inatosha ili bunge likae kama kamati.
Ni uc hungu mkubwa sana kuona kodi zetu zinapotea bure
Mkuu Lunyungu, kuhusu uwezo wa duni, uwezo mdogo na lack of confidence aliyonayo Spika, Mhe. Anna Makinda, tumeisha lizungumza sana hili!.Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?
Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?
Her behaviour is typical for any woman who has never been in marriage or labour.
Katika maamuzi magumu na hasa bunge linapokaa kama kamati kupitisha bajeti,wakiwa wanaipitia kifungu kwa kifungu kutoa udhuru kwa mjumbe wa kamati husika na ikapelekea hata ile nusu ya wajumbe ikawa haijafikia hakuwezi kuhalalisha maamuzi hayo yakawa yameamuliwa na kikao halali.kimsingi mama huyu ni tatizo kabisa,na nilikuwa najiuliza ni kwanini hakutaka hata kujiridhisha?kanuni haisemi kuwa kama wabunge wameomba ruhusa kiasi cha kuathiri akidi kwa kiasi kikubwa hivyo ni makosa makubwa.Mkuu Lunyungu, kuhusu uwezo wa duni, uwezo mdogo na lack of confidence aliyonayo Spika, Mhe. Anna Makinda, tumeisha lizungumza sana hili!.
Akidi haijatimia!, ila kwa vile wabunge wote ambao hawapo, wameomba rasmi ruksa kwa spika, hivyo ni spika ndiye anajua wako wapi, hiv
yo hata kama wanaonekana hawapo physically, uwepo wao by imagination upo, hivyo wanahesabika wapo, na akidi imetimia!.
Nilisema juzi juzi, hawa wabunge wa Chadema, wanatuharibia sana bunge letu!. Wanamkosesha amani spika wetu na naibu wake kwa kuwaendesha puta, hadi kukiuka/kuvunja, kupindisha na kuunda kanuni mpya kinyume cha sheria!.
Nilishauri, kama Chadema wamekuwa mwiba hadi kugeuka kero, bora hiki chama kifutwe tujue moja!.
Pasco.
Issue siyo mtu wa kike bali spika anatakiwa awe mwanasheria na siyo Mhasibu kama alivyo wa sasa. Tena asitokane na chama cha siasa.Nimeona, nikainama...nikasema bunge linanajisiwa na mtu wa kike..the poor madam supika
Fighting breaks out in Venezuela's parliamentNdugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?
Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?
Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge kupitisha matumizi ya wizara muda huu .Lissu kaomba muongozo na Makinda kuwa stressed na kukataa kwamba muda unapotea wakati kaambiwa idadi ya waliomo ndani .Kisha akasema blindly kwamba mimi naona idadi inatosha na kuendelea na ratiba .Nimeshangaa sana kama Bunge linaweza kukiuka utaratibu na kanuni in the open je baada ya wao toka mjengoni ni watunga sheria unategemea nini mahali kama polisi , mahakamani nk ?
Tunawalalamikia Chadema kila siku lakini do we see how are being well promoted na Makinda kwa maamuzi ya kibabe ila ni sumu kwa CCM na Tanzania yetu ? Maana watanzania wana angalia ama kusikiliza Bunge .Wewe unasemaje kwa kitendo hili cha kuwaminya Chadema hadi kushindwa kujiridhisha kwa kuhesabu walioko kabla ya kuamua ?
Usijichukie. Tatizo la baadhi ya akina mama ni bootlickers. Wengine ni very strong like the late Ironlady Margareth Thatcher.Huyu mama anatuaibisha sana wanawake maana anafikiri ili uweze kuongoza nilazima uwe mbabe na mwenye dharau. Yaani nimemuangalia alivyoikataa hoja ya Lisu kuhusu idadi ya wabunge nikajichukia mimi mwenyewe