Sparkling Water...

Sparkling water nadhani wamaanisha jamii ya safari water, soda water (club soda) au kwa wale tuliozoea product za mnorway twakamata Voss.
Ni maji mazuri sana japo kwa kiasi kidogo sana yanaharibu meno.
Kwa taarifa zaidi zama google
 
Bey, sparkling drinks ni vile vinywaji vyenye vi bubbles....kama coca cola, pepsi, zipo juisi za hivyo, zipo champagne za hivyo, na kadhalika.

Ni vinywaji vinavyokuwa carbonated ili kuwezesha kuwa na hivyo vi bubbles.

Bey ? Hahaaaa haya..so all this is just carbon sio?
 
Soda zote zinaharibu meno na kuleta kisukari
 
napigania kwa.CEO wa mambo ya mmu nyumbani kwangu. Wewe kama umeridhika na umeneja mie neh.

hizo sijui nini nini water......ukinywa wakuwa na nguvu ya kukimbia mda mrefu au.....mie sijaelewa bana Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Bey, sparkling drinks ni vile vinywaji vyenye vi bubbles....kama coca cola, pepsi, zipo juisi za hivyo, zipo champagne za hivyo, na kadhalika.

Ni vinywaji vinavyokuwa carbonated ili kuwezesha kuwa na hivyo vi bubbles.

hata maji ya kawaida h20 yana vi bubbles na sio sparkling.
 
Kama nimeachwa kwenye mataa vile?....

ngoja kwanza, naweza pata jibu
 
Kama nimeachwa kwenye mataa vile?....

ngoja kwanza, naweza pata jibu

kaka tuendelee kuangalia naamini tutapata jibu, japo mwanga kwa mbaali nauona labda Kongosho anaweza kutuwekea sawa...
 
Last edited by a moderator:
Soda zote zinaharibu meno na kuleta kisukari

Unataka kusema soda water nayo yaleta kisukari?
Mie natumia voss sparkling kama drinking water....sijaona mahali wanasema ni kisukari causing drink
 
Bey ? Hahaaaa haya..so all this is just carbon sio?

Kwani mwenyewe si anajiita badiebey.....

Sasa mi nimelifupisha tu jina lake.

Mbona kama umeshangaa hivi....kuna mwingine unayemjua mwenye jina hilo au niaje haswa.....?
 
Last edited by a moderator:
hata maji ya kawaida h20 yana vi bubbles na sio sparkling.

Maji ya kawaida yako carbonated kama hizo sparkling drinks?

Na kwa vile asilimia 99 ya mambo yahusuyo lugha huwa sibahatishi, ngoja basi nikuwekee maana ya 'sparkling' katika muktadha wa vinywaji kutoka vyanzo vitatu vya mamlaka zenye heshima.

Tuanze na Cambridge Dictionaries Online

A sparkling drink is one that contains many small bubbles of gas:
Champagne
is a sparkling wine.

Tuje kwenye Oxford Learner's Dictionaries

2 (of drinks) containing bubbles of gas
Synonym fizzy

a sparkling wine

sparkling mineral water

Tumalizie na Merriam-Webster Learner's Dictionary

4 always used before a noun : containing bubbles
  • sparkling wine
  • sparkling grape juice

Haya, nimemaliza. Pia, waweza wewe mwenyewe kubofya hivyo viunganishi vya hivyo vyanzo ukaenda moja kwa moja kwenye tovuti za hizo kamusi.

Kuna neno ambalo lipo kwenye hizo fasili tatu. Nalo ni bubbles.

Bado unataka ligi?
 
kumbe unajijua kwa lugha?

Atakoma 'leyo'.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…