Spare za Pikipiki kuibiwa Polisi

Shitwiku

Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
31
Reaction score
2
Hvi karibuni pikipiki yetu ya ofisi ilikamatwa kwa kuvunja sheria ya kuingia mjini bila kibali,Polisi waliichukua mpaka kituoni,tukaambiwa tulipie faini kituoni,Pikipiki ililala pale kituoni cku moja cku tunaenda kuichukua tukakuta Mafuta kwenye pikipiki hakuna,Oil nayo haipo,na Plagi nayo haipo,Katika kuuliza uliza watu wa karibu na pale wakasema cyo nyie tu,Na hvyo vitu wanaweka ktk pikipiki zao,
 
Kwa nchi makini hiyo ni bonge la skendo lakini kwa nchi yetu hiyo ni kawaida sana.
 
Hata sisi
tuliibiwa pikipiki mwezi mmoja uliopita,tukapata taarifa polisi wa doria waliikamata na watuhumiwa wakawekwa ndani lakini tuliikuta kama imetumika miaka 5 iliyopita wametoa mfuniko wa tank la mafuta,wametoa redio,wametoa side mirror nk sikupata jibu kama hivi vimeibiwa kituoni au.
 
Ipo siku serikali itang'oa taa za barabarani na kuwasingizia wauza chuma chakavu
 
polisi ni wezi hilo liko wazi..!! kwani wao hawana tamaa?
 
Alichokisema ni sahihi sasa unataka kuchanganya na zipi? Sio pikipiki pekee wenye Magari ndo noma zaidi
Police ni wezi sana.

Toeni ushirikiano kwa kujulisha uongozi, sio kuja humu JF kubwaga majungu.
 
Ww unauakika gani km mpanga naandika hii status zijaenda kufwatilia,tulifwatilia tukakutana na kiongozi mmoja akatuambia hakuna uwakika km hvyo vitu vilikueepo yy alichosema kuwa atafanya uchunguzi,Ss ww jiulize pikipiki imekamatwa inatembea kweli itakuwa haikuwa na mafuta,oil wala plagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…