Spare ya ZEC 40-23MT27-MAB2LG inapatikana wapi?

Msenyele

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
338
86
Nilipeleka kwa fundi kwa ajili ya kubadilishwa IC ya sound bahati mbaya ikawa imepigwa short.

Mwenye nayo au anayeweza kujua zinapopatika anijuze maana Mwanza nilizunguka mji mzima sikupata.

Jukwaa hili naliamini na natumaini nitapata, naomba kuwasilisha.

40-23MT27-MAB2LG.jpeg
 
Maelezo yako hayajatosha unachotafuta ni ic ya sauti? kama ndio ni ic ya sauti je ni namba zake ni zipi pili je ni mainboad yote unataka? weka maelezo vizuri itasaidia kupata msaada kwa haraka
 
Mkuu nataka main board yote kama ilivyo kwenye picha maana ilipiga shot
 
Back
Top Bottom